Sokoine University ofAgriculture

Sokoine University ofAgriculture
www.suanet.ac.tz

Tuesday, October 1, 2013

Baadhi ya wanafunzi waliomaliza mwaka wa tatu,,wameelezea jinsi walivyokuwa na furaha ya kuhitimu masomo hapo SUA



Tukizungumza na aliyekuwa C.E.O wa KWETU ORG. AFRICA mr. Abby amesema kuwa hiyo ni step mojawapo ya maisha, kwani zilishapita steps nyingi tangu std 7 lakini hii ya sasa ina u exclusivity ndani yake.Imemfanya na yeye aonekane mtu mbele za watu ,now anaweza akasema kitu na watu wakamsikiliza.  Bw. Abby amehitimu Mwaka huu Sokoine University of Agriculture,yeye ni mtaalamu wa Maendeleo ya kijijini ukizingatia kwamba Tanzania nzima ni kijiji,,Pichani ni mr, Abby au wengi tumezoea kumuita Mr, BackOff.

.<-Kushoto ni baadhi ya wanachuo waliomaliza masomo yao,,,hapo enzi za  kujiandaa na UE ya mwishooo......

No comments:

Post a Comment

follow us on fb