baadhi ya vijana wa second year,,wameonekana mitaani wakila movies baada ya kazi nzito walioifanyaaa ya kutoshikwa hata somo moja,,,pichani ni Aki young kama anavyojiita mwenyewe akila ile vijana mnaita bata,, SO Mwaka wa kwanza hautakiwii kuogopa,,hata SUA BATA wapo
Hata madada wala bata pia wapo,,,
mnyama Aki Young akiwa kwa roomkwake akila movies,,,,,
No comments:
Post a Comment